Ila Pesa ni Aplication inayokuwezesha kufanya miamala kama kutuma
*Kutuma Pesa
*Kutoa Pesa
*Kufanya Miamala
*kulipa Bili kama Luku| Maji na Bili Mbalimbali
*Kununua Salio na Vifurushi
*kufanya Malipo mfano Kununua Vitu
*Kuweza kulipwa mojakwamoja kutoka mitandao ya kijamii kutumia link yako
na Vingine vingi
pia Ila pesa inakuwezesha kufanya malipo kwa kuscan au kutuma Pesa ambapo kila mtumiaji wa Ila Pesa huwa na Qr Code yake inayomuwezesha kupokea Malipo kwa urahisi zaidi
Ilapesa inkuwezesha kuifadhi historia za miamala pia kuhifadhi kumbukumbu kama Ruku na zingine nyingi
IlaPesa inakupa urahisi wa Kutuma Pesa pasipo kuhangaika kuweka namba unaweza kuserch namba kwenye Phone book yako na ukamtumia mtu mojakwa moja kwa urahis
Muonekano rahisi na mzuri zaidi
Karibu Kutumia Ila Pesa